Monday, July 18, 2016

Kutokana na matatizo ya nguvu za kiume na watu kuhitaji kuongeza maumbile ya kiume basi leo hii nimeamua kuwaletea sehemu ndogo tu ya mbinu za kutibu nguvu za kiume na kuongeza ukubwa wa uume.

TIBA YA PUNYETO

Sasa nakuja kwenye punyeto na kutibu hilo tatizo na kuwa nguvu za kiume kama kifaru dume. Pia wenye tatizo la nguvu za kiumee tumieni hizi mbinu. Naomba nieleweke hiv mtu mwenye tatizo hilo anatakiwa kufuata mambo yafuatayo Nina uhakika atapona kabisa na nguvu kama zamani inatakiwa afanye mambo yafuatayo japo ni mashart magumu kidogo kwani unatakiwa ukae miez 4 had miez 6 bila kufanya mapenzi. Ntawambia faida zake ukiweza kuwa hiv kwanza utakuwa na nguvu za kiume za ajabu yaan utazid hata zile za awal utakuwa umeweza kuongeza nguvu za kiume kwa kiwango kikubwa zaid na utakuwa umejenga uwezo Mkubwa wa kuwa na kiwango kikubwa cha mbegu za kiume. Faida nyingine utafanikiwa kuongeza ukubwa wamboo yako hasa unene wa mboo na kupitia zoezi hili utakuwa umezuia tatizo la mboo kusinyaa na kuwa kadogo jambo jingine utaweza kujenga mwili wa mvuto kimapenz yaani utakuwa na six pack.
Onyo: usifuate masharti, hutaweza kufanikisha zoezi hili. Vyakula unavyopaswa kuvitumia wakati kutibu tatizo hilo (unaweza kutumia vyakula vingine ila hivi nitakavyokutajia hakikisha unatumia) kula ugali wa dona faida yake ni kuwa utaongeza uwezo wako wa nguvu za kiume na mbegu za kiume pia zitaimarika zaimbivu samaki aina zote, maziwa fresh, maharage, kunde, mboga za majani, mihogo, viaz vitamu, tumia mafuta alizeti, ufuta au mawese.. Tumia matunda parachichi,ndizi mbivu, machungwa, chenza, madalanzi, maboga, tikiti maji, papai, Nanasi, tende, nyanya, pera, kitungu maji, saumu, zabibu, karoti, madafu, bamia, bilingany ya kienyeji na n.k
Jinsi ya kuondoa tatizo la punyeto kwa kutumia njia hii unakuwa nguvu ya kuipatia misul nguvu zaidi Chua uume wako kwa kutumia kitunguu swaumu. Unatakiwa kipindi chote ukiwa unatumia dozi hii ni unatakiwa kuchukua mboo yako kwa vitunguu vyaumu kila siku kabla ya kulala unaweza kutwanga punje kama tank hiv na ukachua vizur. Faida yake ni kuwa hii inasadia kuipa nguvu mishipa ya uume wako na kuweza kurudisha hali yake ya nguvu kama awali.
Unatakiwa kula kalanga Lita 1 kwa wiki kwa hiyo kwa mwez unatakiwa utumie lita 4 za kalanga kwahiyo kwa miez 4 had sita unatakiwa utumie lita 20 had 24 za kalanga. Unatakiwa utumie tangawiz kila siku.hii ni kwamba unatakiwa utwange tangawiz mbichi na uchemshe kisha kunywa . hapa hutakiwi kuchanganya na kitu chochote kile na unatakiwa ukitumie ikiwa ya moto wastan na sio iwe ya vugu vugu.unaweza kutumia asubuhi au jioni. Unatakiwa kunywa maji mengi sana kwa Siku ni vyema ukiweza kunywa maji kuanzia Lita 3 hadi 5 kwa siku hii ni muhimu sana. Unatakiwa kuchukua pia uumee wako kwa asali mbichi sio ya kuchemshwa . chua uume wako kila siku unapo amka na ukisha chua unalamba kijiko kimoja pia chua jion na utalamba kijiko kimoja cha asali. Jitahid kutumia matikit maji kwa wiki wasta tumia tikit maji 1 kwa wiki moja na matikit maji 4kwa mwez had miez 4au 6itimie unatakiwa utumie kila wiki yai moja au 2 had umalize dozi hii ya miezi 4 au 6. Unatakiwa kupasha uume wako kwa kitambaa cha moto wastani. Hapa ni hivi, chemsha maji afu yakiwa ya moto wastan utatakiwa kupaka uume wako mafuta ya zaituni na kisha chukua kitamba chako kikiwa cha moto wastan funika uumee wako afu uwe una vuta mboo kwa kuvuta kwenda mbele .rudia zoez hili mara 3. Fanya kila siku had umalize dozi. Unaweza kufanya muda wowote unaopenda una muda, unatakiwa ufanye mazoezi sana. kisha  siku unapiga push up 20 asubuhi na jion 20 na ukiwa na muda fanya zoezi la kukimbia au nunua kamba na uruke ruke ukiwa kwako,unatakiwa ujiamin na kuwa wewe una nguvu za kiume huna tatizo, hii ndiyo sharti gumu na ukikosea tu bas hutaweza kupona hata kidogo. Na tatizo litakuwa kubwa zaid ya awal. Ni hivi kipindi chote hiki hutakiwi kufanya mapenz na mtu yoyote yule au kupiga punyeto. Kwa ukifanya hivyo utakuwa umeharibu tiba yote. Kwa sababu kipind hiki mishipa na viungo vyote vya kiume vitakuwa na kaz moja tu kujenga uwezo wa awal na kurudisha nguvu za awali za kiume hivyo kuipatia nafasi mishipa yote kuwa imara na kuimarisha uwezo wa kufanya mapenzi. Hapa ili uweze kufanikisha hili ni vyema ukajadiliana na mkeo/mpenzi wako kuhusu hili tatizo lako na jinsi unavyotaka kutibu ili uweze kuwa kidume kama hapo awal,utatakiwa kufanya mazoez ya kegel. Haya ni mazoezi maalum ya kujenga uwezo wa mishipa kuwa na nguvu kama kifaru dumekula ugali wa dona Mazoezi maalum ya kukujenge uwezo na kuupatia mgongo nguvu mazoezi haya yatakusadia kuondoa maumivu ya mgongo na pia nakushauri penda kulala kwenye cement au udongo ila pawe tambala na ukiwa na hayo maumivu ya mgongo au kiuno yatapungua au kuondoka kabisa. Unapo lala lalia mgongo huku ukitazama juu unaweza kulala SAA 1 au zaid au ukihitaji mazoez mengine download video za Abs workout level up to 8 six pac
Mbinu za kutibu tatizo la punyeto

Mazoezi: kama wewe ni mtu unayeishi bila mazoezi kabisa hutaweza kurudisha nguvu hizo, hivyo unahitaji kufanya mazoezi yeyote angalau nusu saa kwa siku. Inaweza kua kuruka kamba, push ups, kukimbia, kuogelea na kadhalika. Mazoezi haya ndio yanayofanya mzunguko wa damu ue mzuri na wewe usimamishe uume vizuri. Pia zoez la kegel ni zur zaid kwa kujenga misuli ya uume.

Onyo: mazoezi yasiwe makali sana kwani yatakumaliza nguvu za kiume. Kula chakula bora cha asili; vyakula vya viwandani vina kemikali nyingi sana na ndio vyakula vinaliwa sana kwenye kizazi chetu hichi cha sasa hivi ndio maana shida hizi zamani hazikuwepo ila siku hizi hata kijana mdogo analalamika kuishiwa nguvu za kiume. Kula ugali, maharage, viazi, maziwa mgando, karanga, korosho, mihogo na vyakula vyote vya asili unavyofahamu ila punguza ulaji wa nyama kwani hauna matokeo mazuri kwenye tiba hii. Kunywa maji mengi sana; kusimama vizuri kwa uume kunategemea sana mzunguko mzuri wa damu mwilini hivyo kama mwili una maji mengi ni rahisi damu kwenda vizuri kwenye uume. Nikukumbushe kwamba ni wingi wa damu unaopelekwa sehemu za siri zako na kufanya uume wako usimame vizuri.. pia mwili unatoa kipaumbele vya damu nyingi kwa viungo vinavyotupa uhai kwanza kwa maana nyingine damu yako haiwezi kuacha kwenda kwenye ubongo, figo na moyo kwanza afu iende kwenye uume. Upe mwili sababu za kupeleka damu ya ziada kwenye uume wako kwa kunywa maji mengi.
Chunusi ni ugonjwa wa ngozi ambao hujitokeza kama viuvimbe au vipele vidogo vidogo hasa sehemu za uso, kifuani na hata mgongoni. Vipele hivi hutokea wakati vishimo vya kupitisha jasho katika ngozi vinapozibwa kwa mafuta au seli za ngozi zilizokufa au wadudu yaani bakteria. Kwa lugha ya kidaktari chunusi huitwa Acne Vulgaris. Chunusi ndio ugonjwa wa ngozi ambao humwathiri binadamu kwa kiasi kikubwa kwa mfano nchini Marekani pekee huathiri watu zaidi ya milioni 17. Chunusi huweza kujitokeza katika umri wowote lakini huathiri sana vijana hasa wakati wa balehe (adolescents).
1. Magadi Soda :
Magadi soda ni mazuri sana kwa kusafishia uso na haswa ukiwa na chunusi . Changanya kiasi kidogo cha magadi soda na maji ya kutosha kuunda kidonge kidogo na kisha weka au kandika kidonge hicho sehemu iliyoathirika na chunusi. Kwa muda wa dakika 15 hadi 20 au mpaka ikauke, na kisha suuza kwa maji yasiyo ya moto. Unaweza kurudia rudia mara kadhaa kwa siku mpaka utakapoona athari za chunusi zimepotea.
2. Matango:
Unaweza kutumia Tango kwa kuondoa chunusi na hata kuondoa mabaka mabaka katika ngozi na kuifanya ngozi yako kuonekana yenye afya na yenye kuvutia. Matango ni mazuri sana kwa kusafishia uso na haswa ukiwa na chunusi . Kata tango na kisha liponde ponde (unaweza kutumia blenda) kisha paka au kandika usoni. Acha likae kwa muda wa dakika 15 hadi 20 hivi, kisha suuza kwa maji baridi. Unaweza kurudia kwa siku mara mbili mpaka mara tatu hadi utakapopona.
3. Kitunguu Swaumu:
Unaweza kutumia kitunguu swaumu kuondoa chunusi . Matumizi ya Kitunguu swaumu huleta matokeo mazuri sana katika kuondoa chunusi usoni na hata kuuwa bakteria sababu kina kemikali (antiseptiki) inayozuia kukua kwa bakteria kwenye jeraha au ngozi iliyo athirika kwa chunusi au hata kwenye kidonda. Na pia ina viwango vya juu wa salfa (ni zuri kwa ajili ya kukausha mafuta kwenye ngozi ya mwili).
Twanga kitungu swaumu, au unaweza kukata nusu na kubandika sehemu iliyo na chunusi huku ukishikilia kwa dakika 5 mpaka 10, na kisha safisha na maji baridi. Waweza kufanya hivyo asubuhi na jioni.
4. Mnanaa (Peppermint):
Unaweza kutumia majani ya Mnanaa kuondoa chunusi usoni. Majani ya mnanaa hutumika hata kwa wale wenye matatizo ya Mba kwenye kichwa. Twanga majani machache au saga kisha weka sehemu iliyo athirika. Wacha mpaka pakauke na kisha safisha kwa maji baridi. Unaweza kufanya hivyo mara kadhaa kwa siku.
5. Limao:
Kata limao na kisha kwa kutumia kijiti chenye pamba kiloweke kwenye maji ya limao, sugua sehemu yenye chunusi , kisha acha pakauke, unaweza kurudia rudia kila baada ya masaa kadhaa. Usitumie maji ya limao ya kwenye chupa (ya dukani), kwa sababu yanaweza kuwa yamewekwa kemikali zingine ili kuyahifadhi kiasi cha kuondoa ubora wa kemikali halisi za kwenye limao. Tumia limao halisi.
6. Asali:
Matumizi ya asali kutibu chunusi huwezesha ngozi, iwe na afya na nyororo. Kwa sababu kwenye asali kuna virutubisho vingi vyenye kazi ya kuua vimelea (bacteria) na kuzuia uchafu na kusinyaa kwa ngozi.
Weka asali kidogo sehemu ilio athirika na iache kwa muda mrefu kadri uwezavyo. Vilevile unaweza kupaka uso mzima au hata mwili mzima ukitaka. Sababu asali inarutubisha ngozi ya mwili na kuifanya iwe na afya na mwonekano mzuri. Ukisha ridhika na muda wa asali kwenye ngozi yako unaweza kusafisha kwa kutumia maji ya vuguvugu.
7. Papai:
Unaweza kushangaa, lakini matumizi ya papai yameonyesha matokeo mazuri sana katika kuondoa chunusi usoni na kusafisha sehemu zingine za mwili. Ponda ponda kiasi kidogo cha papai na upakae sehemu yenye chunusi , kisha liache kwa muda mrefu kadri uwezavyo. Ukisha ridhika na muda unaweza kujisafisha kwa kutumia maji ya kawaida. Unaweza kurudia mara kadhaa kila siku kama unataka.
8. Dawa Ya Meno:
Unaweza kushangaa, lakini ushangazwi na matokeo mazuri ya meno yako kusafishika kwa dawa ya meno.
Kemikali zinazotumika kuuwa Bakteria wa kwenye meno, pia zina uwezo wa kupambana na bakteria wengine. Tumia dawa ya meno isiyo na gel (non-gel) paka kwenye chunusi . Ni vizuri ukatumia usiku wakati wa kwenda kulala, ila si vibaya ukipaka hata muda wa asubuhi au mchana mradi tu uwe na muda wa kutosha wa dawa kukauka ili iweze kufanya kazi vizuri. Namna nyingine ni kuchanganya dawa ya meno na unga wa mahindi au ngano iliyosagwa na kuwa laini sana. Unaweza kupaka na kuiacha ikauke kwa dakika tano mpaka 10. Safisha kwa sabuni. Mchanganyiko huu unasaidia kukausha chunusi.
9. Poda:
Unaweza kutumia baby powder kwa kupaka nyakati za usiku wakati wa kwenda kulala na kuiacha mpaka asubuhi.
10. Mvuke:
Unaweza kutumia mvuke (Steam/vapour) kuondoa mafuta yaliozidi kwenye ngozi ya uso wako. Kwa kujifukisha. Kwa wale ambao hawana mashine wanaweza kujaza sufuria au bakuli kwa maji ya moto na kujifunika kwa taulo huku ukielekeza uso wako kwenye sufuria au bakuli lenye maji yanayotoa mvuke kwa dakika 5 mpaka 10 hivi. Unaweza kufanya hivi pamoja na njia mojawapo nilizo zitaja hapo juu.
MHIMU: Kunywa maji ya kunywa kila siku glasi 8 mpaka 10, jishughulishe na mazoezi ya viungo na ujiweke msafi kila mara. Njia hizi za Asili zinaweza kuchukuwa muda kidogo mpaka kuona matokeo ya kuridhisha. Njia zote hizi kama hazijaleta matokeo mazuri, tafadhali muone daktari wa ngozi au nenda hospitali iliyo karibu kwa uchunguzi zaidi wa ngozi yako.
Baada ya kuelezea namna ya kutengeneza mask
ya Avocado ambayo ni kwa ajili ya ngozi za
kawaida na zilizo kavu, hebu sasa na tuangalie
namna ya kutengeneza mask ya ndizi na asali
kwa ajili ya ngozi zenye mafuta na kutoka
chunusi.
Vinavyohitajika
• Ndizi moja iliyoiva vyema.
• Asali kijiko kimoja cha chakula.
• Limau, ndimu au chungwa moja.
Namna ya kutengenza:
1. Menya ndizi na uiponde vizuri, kisha
changanya katika kibakuli safi pamoja na asali.
2. Kamua limau, ndimu au chungwa, toa kokwa
na maji yake changanya kwenye mchanganyiko
wa ndizi na asali.
3. Chanyanya vizuri hadi upate mchanganyiko
sawia.
4. Paka mchanganyiko huo usoni na shingoni
bila kuweka machoni.
5. Wacha kwa muda wa dakika 15 na osha kwa
maji ya uvuguvugu.

Saturday, July 16, 2016

Chukua biringanya yako na yamenye kisha yachemshe na tengeneza juice na ihifadhi sehemu nzuri.
Matumizi take:-
Kunywa glass tatu asubuhi kabla hujala kitu,hutoa sumu mwili kwa njia ya mkojo.
USISAHAU KUTOA MAONI YAKO KUHUSU NINI KIFANYIKE.
Chukua bilinganya saba 7 katakata na kisha chemsha ndani ya maji ya lita moja halafhalafu weka chumvi ya mbali.
Matumizi take:-
Unatakiwa ule kidogo kidogo kutwa nzima mpaka umalize kwa muda was siku 21na kila siku andaa nyingine mpaka siku zimalize.
USISAHAU KUTOA MAONI YAKO JUU YA KILE UNACHOTAKA KIFANYIKE.
Chukua maji glass moja na asali vijiko vitatu vya chakula. Tia kwenye chombo chenye mdomo mdogo kama vile birika kisha chemsha.
Jinsi ya kutumia:-
Vita mvuke huo kwa mdomo wako kutoka kwenye hicho chombo,Fanya hivyo kutwa mara mbili kila siku kwa muda was siku 14,harufu mbaya itaondoka kinywani mwako.
USIASAHAU KUTOA MAONI YAKO KWANI NI MUHIMU SANA.
Mwanamke mwenye tatizo LA kuziba mirija ya uzaziuzazi,anatakiwa achukue karafuu azitwange ziwe uga.
Jinsi ya kutumia:-
Unga wa karafuu kijiko kimoja cha chair,maji ya moto kikombe kifogo cha chair,atakunywa baada ya kumaliza siku zake kwa muda wa siku tatu kutwa Mara tatu baada ya kumaliza siku zake. Atafanya hivyo kila anapomaliza siku zake za hedhi.
USISAHAU KUTOA MAONI YAKO AMA KUNITUMIA EMAIL KATIKA CONTAC FORM KITU GANI UNGEPENDA KIFANYIKE AMA KUJUA.

Thursday, July 14, 2016



Je ulikua ukijua kama vitu vya asili huweza kutibu maradhi mbali mbali,ikiwemo kama Minyoo,Typhod na Amiba,basi unatakiwa kufanya kama ifuatavyo ili uweze kutibu maradhi haya
Jinsi ya kufanya
Chukua punji za vitunguu thaumu 21, Malimao matatu na majani saba ya mpera, chukua mchanganyiko wa vitu vyote hivi na uvitwange kwa pamoja.
Matumizi yake

Kunywa dawa hiyo katika ujazo wa kikombe kidogo cha chai kwa kutwa mara tatu kwa muda wa siku saba.

Ulijua kama vitunguu thaumu hutibu pressure,kama ni kwanza basi hivi ndio jinsi ya kyufanya
Jinsi ya kufanya
Ponda ponda vitunguu thaumu kwa wingi jinsi uwezavyo,na uhakikishe unapata juice ya vitunguu inayotokana na maji yake.
Matumizi:-
Kunywa juice ya vitunguu thaumu vijiko vitatu vya chakula kutwa mara tatu kwa muda wa siku 21 hadi 30.
ANGALIZO:-
Kwakuwa ugonjwa huu unasababishwa na:-
v  Fikra njingi(kuwaza sana)
v  Mafuta mengi mwilini
v  Kutumia ulevi sana
v  Kula chumvi nyingi

Hivyo basi kama wewe ni mgonjwa wa pressure ya kupanda,unashauriwa sana kupunguza Kufikiri sana,kupunguza matumizi ya vyakula vinavyo ongeza mafuta mwiliini kwa kiasi kikubwa,hii pia unashauriwa kupendelea kufanya mazoezi ili uweze kupunguza mafuta hayo mwilini mwako. Vilevile unatakiwa uachane na ulevi pmoja na kupunguza chumvi katika chakul chako na uweke chumvi kiasi,na kama utafanikiwa kuwa makini kabisa katika mambo haya ,uhakika utafanikiwa kuna kabisa na pressure ya kupanda. 


Chukua tembe tano za vitunguu thaumu, menya kisha vimeze kwa maji bila kuvitafuna kama ukunywavyo dawa za kikemikalia za vidonge,utatumia hihvyo kila siku wakati wa asubuhi.

Wednesday, July 13, 2016


Kwa waale wakaazi wa Tanzania bara hukujua kwa jina la “kiazi mbatata”, ila kwa wanao ishi ndani mwa visiwa vya Zanzibar hujulikana kama “Mbatata”, chakula hiki ni maarufu sana kwa vijana,watoto na hata watu wazima wa jinsia zote,juu ya umaurufu wake kwa kutumika kwa matumizi mbalili, hutumika majumbani,mahushulini na hata wakati mwingine hutmika kwa kukza kipata kwa wananchi wa kawaida, lakini leo hii ningependa kuwaelezea matumizi yake mengine zaid tofauti na yale tuliyo yazoea.
Najua kwako lazima itakua ni kitu kingeni kukisiskia ama kukisoma,ila tambua ya kuwa “Mbatata” hutibu tajizo la kujaa gesi tumboni.
Jinsi ya kuandaa
Chukua kiazi mbatata kimoja ambacho sio kikubwa sana na ukimenye vizuri kwa maji safi na salama,kalafu katakata katika mfumo wa vipande vidogo vidogo,ukisha maliza tia ndani ya Blender pamoja na maji kido halafu usag mchanganbyiko huo wa maji na Mbatata,ukisha maliza kamua juice yake ihifadhi sehem nzuri.
Matumizi yake
Inatakiwa uitumie kutwa mara tatu ndani ya ujazo wa kikombe kidogo cha chai kwa siku moja,ila kama utahisi huja pona tatizo lako unaweza ukaongeza tena siku moja.
Angalizo

Dawa hii hitakuwa na ladha nzuri kwasababu ya kiazi chenyewe kinatakiwa kiwe hakija pikwa,haitakiwi uongeze kitu chochote Zaidi ya kiazi chenywe na maji tu,ila unaweza ukaihifadhi ndani ya Friji/Friza na ukainjwa ibaridi kiasi. 

Categories

Copyright by Zanzibaraha222. Powered by Blogger.

Contact Form

Name

Email *

Message *

Followers

Search This Blog

ZANZIBARAHA

Popular Posts