Huduma zetu kuu tunazo zitoa hapa ni masuala mazima ya kuhakikisha tunawapatiya jamii Elimu
inayohusu masuala ya afya kwa ujumla pamoja na kuwaeleza aina ya vyakula gani
vya jutumia ili mtu aweze kuimarisha afya yake huku akiepukana na maradhi yasiyo
na ulazima wowote,tunatambua na tunajali pia kwani familia yenye furaha ni ile
yenye afya njema hata kama itakua haina uwezo.
0 comments:
Post a Comment