Blog hii ni maalum kwa ajilin ya kufundishana masuala mazima yanayo husiana afya ya wanadamu,vile vile pamoja na kutumia vyakula na matunda kama tiba mbadala badala ya tiba zile tulizo zizoea zinazotokana na kemikali/za viwandani.

Jina la Blog hii linabeba dhiza ya miongoni mwa vitu vya asili vinavyo patika ndani ya visiwa vya Zanzibar,kama vile spices mbali ambazo hupatikana visiwani humu na zile zinazo toka nje ya visiwa hivi endapo kama zitatmiwa vizuri basi zitaleta manufaa makubwa kwa watumiaji wenyewe,faida nyingi zitokanazo na mimea hoi ya asili ambayo tulio wengi hatuyajua ama hatukujua matumizi yake sahihi na faida zake kwa matumizi ya mimea hiyo,sina budi kukuambia usisite upitia ukurasawangu huu ili unfaike na mengi ambayo hapo mwanzo hukuyajua ama ulikua huna uhakika nayo.

0 comments:

Categories

Copyright by Zanzibaraha222. Powered by Blogger.

Contact Form

Name

Email *

Message *

Followers

Search This Blog

ZANZIBARAHA

Popular Posts