Kwa waale wakaazi wa
Tanzania bara hukujua kwa jina la “kiazi
mbatata”, ila kwa wanao ishi
ndani mwa visiwa vya Zanzibar hujulikana kama “Mbatata”, chakula hiki ni maarufu sana kwa vijana,watoto na hata
watu wazima wa jinsia zote,juu ya umaurufu wake kwa kutumika kwa matumizi
mbalili, hutumika majumbani,mahushulini na hata wakati mwingine hutmika kwa
kukza kipata kwa wananchi wa kawaida, lakini leo hii ningependa kuwaelezea
matumizi yake mengine zaid tofauti na yale tuliyo yazoea.
Najua
kwako lazima itakua ni kitu kingeni kukisiskia ama kukisoma,ila tambua ya kuwa
“Mbatata” hutibu tajizo la kujaa
gesi tumboni.
Jinsi ya kuandaa
Chukua
kiazi mbatata kimoja ambacho sio kikubwa sana na ukimenye vizuri kwa maji safi
na salama,kalafu katakata katika mfumo wa vipande vidogo vidogo,ukisha maliza
tia ndani ya Blender pamoja na maji
kido halafu usag mchanganbyiko huo wa maji na Mbatata,ukisha maliza kamua juice yake ihifadhi sehem nzuri.
Matumizi yake
Inatakiwa
uitumie kutwa mara tatu ndani ya ujazo wa kikombe kidogo cha chai kwa siku
moja,ila kama utahisi huja pona tatizo lako unaweza ukaongeza tena siku moja.
Angalizo
Dawa
hii hitakuwa na ladha nzuri kwasababu ya kiazi chenyewe kinatakiwa kiwe hakija
pikwa,haitakiwi uongeze kitu chochote Zaidi ya kiazi chenywe na maji tu,ila
unaweza ukaihifadhi ndani ya Friji/Friza
na ukainjwa ibaridi kiasi.
0 comments:
Post a Comment