Ulijua kama vitunguu
thaumu hutibu pressure,kama ni kwanza basi hivi ndio jinsi ya kyufanya
Jinsi ya kufanya
Ponda ponda vitunguu
thaumu kwa wingi jinsi uwezavyo,na uhakikishe unapata juice ya vitunguu
inayotokana na maji yake.
Matumizi:-
Kunywa juice ya
vitunguu thaumu vijiko vitatu vya chakula kutwa mara tatu kwa muda wa siku 21
hadi 30.
ANGALIZO:-
Kwakuwa
ugonjwa huu unasababishwa na:-
v
Fikra njingi(kuwaza sana)
v
Mafuta mengi mwilini
v
Kutumia ulevi sana
v
Kula chumvi nyingi
Hivyo
basi kama wewe ni mgonjwa wa pressure ya kupanda,unashauriwa sana kupunguza Kufikiri sana,kupunguza matumizi ya vyakula
vinavyo ongeza mafuta mwiliini kwa kiasi kikubwa,hii pia unashauriwa
kupendelea kufanya mazoezi ili uweze kupunguza mafuta hayo mwilini mwako.
Vilevile unatakiwa uachane na ulevi pmoja na kupunguza chumvi katika chakul
chako na uweke chumvi kiasi,na kama utafanikiwa kuwa makini kabisa katika mambo
haya ,uhakika utafanikiwa kuna kabisa na pressure ya kupanda.
0 comments:
Post a Comment