TIKITI MAJI
Tunda hili la tikiti maji ni marufu sana duniani kote juu ya virutubisho vilivyo na vinavyo patikana katika tunda hili la tikiti maji,ukiachana na maji mengi kuna virutbisho vingi sana vinatokana na tikiti maji.
NAMNA YA UTUMIAJI
Utaliosha tikiti lako vizuri sana kwa maji safi na yenye kumiminika vile vile unashauriwa ulioshe tunda lako kwa maji ya vigu vugu. Kwa wale watao subuliwa na kuto pata choo kilaini,unatakiwa kulika tikiti lako na kula mpaka kwenye weupe wa tikiti kama uonavyo hapo juu,huo weupe wa tikiti ndio unao saitia kulainisha choo na kukifanya kiwe kilaini.
Hata hivyo unaweza kufanya juice ya tikitik,hii inashauriwa usiongezee na kitu chochote kingine zaidi ya tikiti lenyewe,itakuwa vizuri sana kama utalisaga pamoja na weupe wake ili ujitengenezee dawa yako na huku unatumia kama kinywaji cha kawaida.
Kwa wale wanao taka kulitumia tikiti kama dawa ya kuzuia kuharisha,unatakiwa ule tikiti pamoja na maganda yake,hapa kama utarudia kusoma hapo juu nimekuandikiwa kuliosha tikiti lako vizuri sana kwa maji yanayo chirizika,vile vile inashauriwa maji yawe ya vugu vugu ili kuondosha bacteria,najua tikiti sio embe useme uoshe tu na ule mda huo huo,kata vipande vyako vido vido na uvisege kwa blender na maganda yake ili utengeneze juice ya tikiti na unye kama maji ya kawaida,hapo utakuwa umejitengenezea dawa yako ya kuzui kuharisha.
0 comments:
Post a Comment